imba kama ndege

UKWELI kuhusu haki za Binadamu

Oktoba 29, 2019 tekepunda 8

Ulikuwa usiku wa manane, mbuzi alikuwa amelala pamoja na kondoo wengine waliposikia kishindo. Kisha wakasikia king’ora ikilia pom pom pom!  Abu Bakr al-Baghdadi hayupo tena. […]

rangi safari

HAPAKUWA na simu

Oktoba 15, 2019 tekepunda 5

Hata punda, ambaye kawaida hana mbio, alikuwa akikimbia sana akielekea mahali pasipojulikana. Hii ni sababu anataka kuweka rekodi kama punda wa kwanza kufika eneo hilo […]

tumbili wawili

REKODI Kuvunjwa

Oktoba 8, 2019 tekepunda 8

Tumbili alikuwa amejaa furaha na tabasamu kubwa usoni. ‘Kwa kweli sikuyatarajia matokeo haya kabisa, sikutarajia kupata nafasi hapa, hili kwangu naona kama miujiza’ alisema tumbili […]