ndio haoo

NYOTA mpira na kikapu

Januari 27, 2020 tekepunda 6

Ugonjwa wa ufisadi ni wa kwanza katika mauaji ulimwenguni asema Bwana Daktari. Akizungumza na wanahabari siku moja, Bwana daktari alisema ugonjwa huo ni miongoni mwa […]

macho kwa kona

MSHALE kwa Bunduki

Januari 21, 2020 tekepunda 10

Kumbe ni ukweli mkebe sio simu. Haiwezi kuwa simu. Kiatukubwa alikanywa aache kupiga mabati lakini aliendelea. Alikataa kabisa kusikia ushauri wa kuku. Madai yalikuwa ya […]

mbio ya basikeli

KIATU chini ya Kabati

Januari 14, 2020 tekepunda 4

Tazama macho yao! Watu hawa uwaonao wote ni wavuta moshi. Hiyo moshi huwapa watu nguvu za kufanya kazi bila kujali wengine. Huwafanya watu wale ugali […]

anasikia simu

Hallo Shika Simu

Januari 7, 2020 tekepunda 14

Hallo,Ooh! Kiatu alisema kuwa masomo kidogo ya shule ilimtosha. Punda na mbuzi walimshauri  awache masomo mingi maana alikuwa mwanafunzi ovyo na alionyesha dalili za kutembea […]