SHULE bila mlango kufanya elimu wazi ndani ya mtandao

masomo bustani
masomo bustani

Kila mmoja alikuwa na kompyuta. Wengine walikuwa wakibofya na wengine walikuwa wakitazama. Mwalimu hakuwepo.

Je! Teknolojia itachukua nafasi ya walimu?

Jambo ambalo liliwashangaza wengi ambao hawakujua la kufanya.

‘Mimi niko na salamu hapa mwalimu ataipokea vipi?’, punda akauliza.

‘Uko darasani salamu utasambaza kwenye mtandao.’, mbuzi akajibu punda.

Vifaa vya usalama mtandaoni.

‘Salamu zangu zitapotelea huko mtandaoni na kufanya nianguke mtihani.’, punda akaendelea kwa huzuni.

‘Jameni, wacha salamu kama unaogopa utaanguka mtihani!’, mbuzi akasema.

‘Hivi ndivyo tunapoteza nidhamu darasani. Hutaki kujua hali ya mwalimu, unataka bongo livimbe na maarifa tu!’, akasema punda.

‘Shikeni adabu, hamfahamu ya kuwa mwalimu ataingia hivi karibuni!’, kuku akawaambia punda na mbuzi.

‘Kuku anaongea na ukiangalia ukubwa wa bongo lake hafai kusema kitu.’, mbuzi akasema.

‘Nyamazeni, mwalimu amewasili. Kila mmoja atazame kompyuta yake ilituanze masomo yetu darasani.’, akasema tembo akiwa amesimama kando ya mti.

Anza masomo leo.

‘Sasa hakuna kuadhibiwa tena. Mwalimu hayupo. Hawezi kutoka ndani ya kompyuta na kunizaba kofi.’ , akasema mbuzi mmoja akiondoka kwenda kula nyasi.

Wazo 5

 1. Aisee takajua kwangu mimi jambo la kushangaza ni kwamba kando na ukweli kwamba punda ni daima kapungukiwa kidogo, ni uwongo eti maseneta hao wa jamhuri, na msingi wake unaendelea kumuunga mbuzi mkono?

  Sungura aliyefanikiwa, mtengeneza biashara n.k., hata akijaribu hatamfikia Ouattara. Soma na uchunguze, jifunze historia, jielimishe kabla kuchelewa mechi ya la liga! Chimba na upate Kim jung Un. Hali ya anga inaendelea kama hapo awali na mambo yale ambayo anajua yatamwita na kumweka kadinali peupe.

  Wanyama kutembea mitaani

  Ikiwa unasoma siasa bofya hapo na habari au tu amka wavivu kama ilivyo, huu ni wakati katika historia ya kuweka dili moto ambao hautaki kuwa upande mbaya kwa sababu ya ukosefu wa bidii.

  PANYA ASHINDA TUZO

 2. Hapa kuna sheria na masharti. Ukitaka unaweza kuangalia pande zote mbili. Ikiwa una mpira na unafikiria unaweza kufunga, haufungi timu yako. Ikifanyika hivo tuseme bahati mbaya. Muhimu ni kusakata dimba hadi kupata alama. .na imekuwa hivyo kwa miaka na mikaka.

  ELIMU BILA ADA

  Yeyote anayedai kwamba ikiwa wangekuwa na mpira wangefanya kila kitu kupitia uwezo wao iliwafunge ni unafiki kabisa na kukosa mwelekeo.
  Unachoweza kufanya ni kujaribu kurudisha mpira halafu kama ni wakati wako wa kucheza kuitia wavuni. Kwa hivyo tafadhali, tuendelee kuchapa stori. Hii ndio sheria. Haiegemei pande yeyote ya mbavu. Ukitaka unaweza kucheka.

1 Trackback / Pingback

 1. VILIPUZI vyapatikana vikiwa vimefichwa na shujaa panya – takajua

Maoni yamesimamishwa.