DIRISHA ya paka yabishwa hodi na samaki

samaki dirishani
samaki dirishani

‘Maji inapanda.’, panya akasema akitoka mafichoni.

‘Itakuwaje, maji na miguu kupanda mlima?’, paka akajibu akiwa amelala.

‘Amka paka rafiki yangu utusaidie.’, panya wa boflo akamsihi paka.

Paka alifungua macho yake na mbele yake aliona panya watatu. wakimtazama. Asijue la kufanya aliamka na kujiuliza kama ni ndoto.

‘Sasa sio wakati wa kujiuliza maswali magumu tazama nje ya nyumba.’ , panya wa boflo akamwelekeza paka kwa dirisha.

Paka akajivuta hadi dirishani na alipotazama nje alikuwa na mshangao. Maji ilikuwa inabeba kila kitu njiani na kufanya kama ziwa kubwa nje ya boma.

Paka akajilaumu kwa kula panya wagonjwa na kusababisha yeye kuota ndoto za ajabu mchana.

‘Sitakula nyama tena!’, akasema paka na wale panya watatu wakaanza kushangilia.

Wazo 2

  1. How do they know who has the water in the house? I have never heard of any rains forming lakes.

    Anyone who is thought to have believed this now is considered to have the crazy Variant. Did the cat just one day pack up and leave?

Maoni yamesimamishwa.