Samaki kuishi ndani ya chupa

Takataka ilikuwa imezomba mji. Samaki walikosa mahala pa kujificha. Wengi wakaanza kuishi ndani ya chupa.