Oktoba 2022

Garindege apotea njia baada ya kumtoroka ndege

“Mimi ni bora zaidi kuliko wewe,” Garindege akajionyesha kwa magari mengine. “Kweli wewe uko sawa” lile gari kuukuu jeupe likakubali. “Wewe ni mrembo na umeendelea kiteknolojia kuliko sisi wengine. Unaweza kupaa angani pia.” “Na nilisahau kukuambia kitu,” akasema Garindege. “Kioo changu cha kutazama nyuma pia huona kama jicho la kinyonga kama mfumo wa ufuatiliaji wa… Soma zaidi »

Mheshimiwa anacheza ngoma kitamaduni

“Ninahisi kuheshimiwa sana leo,” Koti kubwa akasema kwa wale wanaofanya sherehe ya kumkaribisha kimila. “Na ninajua unamheshimu nani. Nitawafanyia mambo mengi ya ajabu.” Koti Kubwa alikuwa amerudi kutoka kwenye ziara na kujivunia kuhusu safari zake za ajabu. Alizungumza kwa kirefu kuhusu watu mbalimbali aliokutana nao na mambo yake ya ajabu yaliyomletea umaarufu na sifa kutoka… Soma zaidi »

Siri ya kutembea ukuta kama mjusi

Tembo alitaabika sana kwa sababu ya ukubwa wa pua lake. Alikuwa anataka kujua siri ya mjusi iliyomwezesha kutembea kwa ukuta bila kuanguka. Aliona kama muujiza. Tembo aliona hangeweza kujificha kutoka kwa adui kwa sababu ya mwili wake. Mjusi akamwomba tembo ammiminie maji badala ya kuingia majini. Ndiposa akamwelezea siri yake. Hapo zamani za kale mababu… Soma zaidi »

Mazingira yetu tunamoishi

Ulimwengu unahitaji upendo kwa kutunza mazingira yetu nzuri. Katika kitabu hiki kipya cha picha ambacho kinaangazia umuhimu wa miti katika maisha ya watoto hawa watatu.

Ushindi bila kombe la 2022

Ilikuwa siku kuu kwa tembo na vifaru – ni kombe la mpira wa miguu. Timu hizo mbili zinachuana kuwania kombe hilo. Timu za wanyama zilikamilisha michezo ya kufuzu mashindano ya Kombe la 2022. Mashirikisho ya soka kwenye vichaka vyote porini kushuhudia timu zao viwanjani. Nani atashinda? Vifaru wamekuwa kwenye fomu nzuri zaidi. Wakiwa hawajapoteza hata… Soma zaidi »

Chakula cha GMO ni tamu?

Mbali na kurusha makombora tofauti tofauti kila mwezi, Professa Daktari anapania pia kushirikiana na baadhi ya washindi wa jackpot kutoka Burkina Faso na polisi wa Indonesia kueneza vitoa machozi kwa kutumia chakula cha GMO. Traore alitumia ujuzi wake wa silaha kuwaelekeza vijana katika uchaguzi Brazil kama njia moja ya kukuza historia ya ajabu jinsi binadamu… Soma zaidi »