Picha ya mamba akiwa amelala huku akiwa amefungua mdomo lake mbele ya wanyama wengine kwenye kichaka inazua wasiwasi zaidi kuhusu tahadhari za usalama kati ya wanyama wanao kula nyasi. Mkuu wa twiga wa porini, Twiga mrefu, anasema picha ya mamba huyo akiwa amelala na jicho lake moja wazi ni tatizo. “Sisi hatuko katika nafasi ya kunywa maji mtoni kwa amani bila wasiwasi kwa sababu mamba huyu anatutia hofu,” akasemaTwiga mrefu.