Sungura apata chai ya mbweha
Habari zilienea kote kichakani kuhusu maisha ya kifahari ya sungura. Mbweha akapanga njama ya kuwa meza ya sungura ili aweze kuwekewa chai. ‘Habari gani hii?’, punda akauliza ng’ombe. ‘Nimeshangaa pia mimi. Yawezekanaje mbweha kuwa meza ya sungura?’, ng’ombe akauliza. ‘Najua…