mvuvi na kiboko

Kiboko akatalia ndani ya mto

Mzee Jengo alipigwa butwaa kuona mnyama mkubwa ajabu mtoni. Hakudhania inawezekana kupata mnyama mkubwa kuliko ng’ombe wake chini ya maji.

Joto iliongezeka na idadi ya samaki katika mto huo ulikuwa umeanza kupungua. Wanakijiji, wakiwa na hamu ya kulisha familia zao, walianza kuvua zaidi na zaidi mtoni, na kuvamia eneo la kiboko.

Mwanzoni, kiboko alivumilia uvamizi huo, akitazama kutoka kwenye miti wavuvi wanavyotupa nyavu zao. Lakini kadri wavuvi walivyozidi kuwa wajasiri ndivyo hasira ya kiboko ilipanda.

wazo lako