Tumbili Chui na Papa

tumbili akila ndizi tamu

 

Siku moja jua lilikuwa limewaka tumbili akasema

‘Ndizi ni tamu sana.’

Chui akatazama juu ya mti na kuwaza ‘mimi siwezi kula ndizi.’

Papa kwa hasira akasema ‘Wewe tumbili shuka!’

Tumbili akala ndizi lake.