mpira uwanjani

Uchungu wa MPIRA ni KIATU

Machi 26, 2019 tekepunda 21

Kiatu uwanjani ni kupiga mpira. Binadamu kazi yake ni kurusha mateke. Hivi majuzi baada ya kufunga bao Ronaldo kashangilia visivyo. Kiatu chake chafanikiwa kutia mpira […]

radi baharini

MTIKISIKO BAHARINI

Machi 19, 2019 tekepunda 0

Hali ya taharuki imetanda katika kituo kimoja cha Polisi mjini Sutherland, Afrika kusini baada ya simba mmoja kukamatwa na kuingizwa korokoroni. Simba alikuwa ametoroka mbuga […]

andika kikombe

Mapenzi ya SIMBA

Machi 12, 2019 tekepunda 0

Alikuwa mpenzi wake au kitoweo chake? Hili ndilo swali teke punda alilokuwa akijiuliza kufuatia kifo cha simba kwa kupigwa risasi na binadamu polisi. Babake binadamu […]

mvua zima moto

Asifuye mvua imemnyea

Machi 5, 2019 tekepunda 0

Uzito wa kofi ulisababisha meza iliokuwa imepakana na jiko kuanguka na chakula kumwagika. Moto ukaanza hapo na kusambaa ndani ya msitu. Wanyama walitoroka mguu niponye. […]

kapewa kiti

Deni ya Galaxy Fold

Febuari 26, 2019 tekepunda 0

Urithi wa mamilioni ya dola na dadake Paka anayeishi Marekani umewafanya wanyama wafikirie kwa kina kuhusu uhusiano wao na Binadamu. Dadake Paka ambaye anatambulika kwa […]