Mwenye shibe hamjui mwenye njaa

Oktoba 17, 2018 tekepunda 0

Tumbili alipandishwa kizimbani pamoja na Paka. Paka akiwa na majeraha madogo madogo kichwani kutokana na kichapo alichopata akiwa anatoroka¬† naye Tumbili alikuwa ameshika mkia wake. […]

Watetea ndizi na mgomba si wako

Septemba 25, 2018 tekepunda 0

“Nilikupa ndizi¬† ukakataa. Angalia sasa tuko kotini. Mbona hivi?”, Paka akamwuliza Kunguru. ‘Mimi nilikuwa naelekea sokoni ndiposa nikakuona ukibeba ndizi’. Kunguru akajibu. ‘Wewe umewahi kuona […]

Ushahidi ndizi mahakamani

Septemba 14, 2018 tekepunda 0

Kunguru alishika Kitabu cha Ukweli na kuapa kwamba atasema ukweli peke yake na kwamba hataongeza maneno ya kupotosha au kuwadanganya wasikilizaji. Mzee Kobe alirudisha Kitabu […]

Punda wawili

Juni 5, 2018 tekepunda 0

Kulikuwa na punda wawili , mmoja mnene na mwingine mwembamba kiasi. Wote walikuwa wakila nyasi katika eneo mmoja. Yule mnene alipoishiwa na nyasi akaenda kunyemelea […]