MATOKEO ya uchaguzi yapatikana ndani ya tumbo ya ng’ombe

mifugo

Tumbo la ng’ombe lilikuwa limevimba kama ujauzito na akaanza kupoteza ufahamu wakati mbwa mwaminifu alimwona akiyumba yumba na akamuuliza kama yote yalikuwa shwari. Ilikuwa msimu wa uchaguzi na kulikuwa na uvumi kuwa kura zimepotea. Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa na wasiwasi wasijue la kufanya. Mmoja kati ya wasimamizi hao alikuwa kiongozi ng’ombe. Ng’ombe alifikishwa kwenye chumba… Soma zaidi

FISI wafurahi kuvuka mto juu ya kiboko

fisi na kiboko

Fisi walibebwa na kiboko ili wavuke mto.Masuala makubwa yalijadiliwa pamoja na mashirikiano yatakayokuza maji na mboga lakini pia miradi mbalimbali itakayochochea ustawi wa mto ikiwa ni pamoja na usafi,afya na miundombinu. Kwa upande wake fisi wa kwanza kupanda, alimpongeza kiboko mwema kwa hatua yake ya kukubali kuwabeba kutoka ng’mbo moja hadi lingine na kuongeza kuwa… Soma zaidi

BILA miguu ndivyo chatu mwona mbali alivyoingia sokoni

vurugu sokoni na chatu

‘Aliingia vipi ndani ya soko?’, punda masikio kubwa akauliza. ‘Wewe unashangazwa na vile chatu alivyoingia sokoni. Hebu jiulize vile alivyokagua bidhaa kabla ya kununua?’, panya mla mkate akachangia gumzo. ‘Nyinyi mmepitwa na wakati. Hamjasikia kuhusu soko ya mtandao?’, paka akawaeleza akipapasa masharubu yake. ‘Tueleze hiyo soko iko wapi.’, punda masikio kubwa akarudisha. ‘Namuunga mkono punda,… Soma zaidi

DIRISHA ya paka yabishwa hodi na samaki

samaki dirishani

‘Maji inapanda.’, panya akasema akitoka mafichoni. ‘Itakuwaje, maji na miguu kupanda mlima?’, paka akajibu akiwa amelala. ‘Amka paka rafiki yangu utusaidie.’, panya wa boflo akamsihi paka. Paka alifungua macho yake na mbele yake aliona panya watatu. wakimtazama. Asijue la kufanya aliamka na kujiuliza kama ni ndoto. ‘Sasa sio wakati wa kujiuliza maswali magumu tazama nje… Soma zaidi