KITENDAWILI

Simba tisa watazama watalii

simba tisa na gari ya watalii

Hapo karibu panya mdogo alipitia akiwa na woga na bila kutarajia na katika harakati ya kuondoka, alikimbia ndani ya pua ya Simba mmoja.

Siri ya kutembea ukuta kama mjusi

Tembo alitaabika sana kwa sababu ya ukubwa wa pua lake. Alikuwa anataka kujua siri ya mjusi iliyomwezesha kutembea kwa ukuta bila kuanguka. Aliona kama muujiza. Tembo aliona hangeweza kujificha kutoka kwa adui kwa sababu ya mwili wake. Mjusi akamwomba tembo ammiminie maji badala ya kuingia majini. Ndiposa akamwelezea siri yake. Hapo zamani za kale mababu… Soma zaidi »