Skip to content Methali Archives - takajua
Skip to content
takajua

takajua

Ulimwengu wa maneno

  • Stori ya Tumbili
takajua
takajua
Ulimwengu wa maneno

Methali

takataka lori
Hadithi | Methali

Haraka Haraka haina Baraka

namimi Febuari 17, 2025Mei 18, 2025

“Mimi sina muda wa kupoteza! Haraka ndiyo maisha!” alisema Bw. Simiti kila mtu alipomwonya.

Soma Zaidi Haraka Haraka haina BarakaContinue

jogoo akisoma

Karibu kwenye ulimwengu wa Takajua, mahali ambapo hadithi zinapumua, wanyama wanazungumza, na Kiswahili kinang’aa kwa uzuri wake! Mimi ni Takajua, msanii na mpishi wa maneno, ninayependa kuumba simulizi zinazochochea fikra na kuamsha hisia.

  • Stori ya Tumbili
Search