Jiamulie wewe mwenyewe

TUMBO kupasuka baada ya nyoka kumeza mawe
Haya yote yametoka wapi? Au leo ni siku ya wajinga? , nyoka akajiuliza akitazama mbele yake. Badala ya kuchukua muda kukagua yale ambayo alikuwa akidhania […]
Jiamulie wewe mwenyewe
Haya yote yametoka wapi? Au leo ni siku ya wajinga? , nyoka akajiuliza akitazama mbele yake. Badala ya kuchukua muda kukagua yale ambayo alikuwa akidhania […]
Walishangaa walipoona gari lililokuwa na miguu ya mbuzi na ng’ombe na sura kama ya mamba. “Ukweli ni kwamba wamewabeba abiria wakiwa midomoni yao, haijulikani jinsi […]
Ndege angani walilalamika kukosa haki ya kutembea au kunywa maji kwa sababu ya kukosa kufikia kiwango fulani cha pigo ya mabawa. Makabiliano kati ya tumbili […]
Tumbili alionekana hana haraka ya kuondoka. Alikuwa amekaa juu ya mti akizungumza na wenzake juu ya utamu wa matunda yaliyokuwa yameliwa na wadudu wasiotambulika. Wafanyakazi […]
Hakuelewa jinsi gani watu wanakimbizana na kung’ang’nia ngozi na hatimaye kutoa hadi machozi kwa furaha na wengine kwa machungu. Hili ndilo kitendawili kilichokuwa bila jibu […]
Haki zote zimehifadhiwa © 2021 | porojo tupu takajua.com