KWA NINI?

Kitabu cha ngoma

akisoma na kupiga ngoma

hakufurahia na alianza kuwa na hasira kwa sababu watu walichafua hewa kwa moshi na kelele nyingi

Tunda mtamu akataliwa kwa sababu ya kiwavi

Hapo zamani za kale palikuwa na mti wa matunda matamu sana katika bustani. Mti huu ulikuwa umesifika sana kwa kuwa na matunda matamu zaidi kuliko yote. Wakati moja katika msimu wa matunda kulikuwa na majadiliano. Matunda walikuwa wakishauriana na kupeana moyo kwa sababu wataliwa au kupelekwa mbali na kuzaliwa kwao. Mmoja wao alikuwa na kiburi… Soma zaidi »

Garindege apotea njia baada ya kumtoroka ndege

“Mimi ni bora zaidi kuliko wewe,” Garindege akajionyesha kwa magari mengine. “Kweli wewe uko sawa” lile gari kuukuu jeupe likakubali. “Wewe ni mrembo na umeendelea kiteknolojia kuliko sisi wengine. Unaweza kupaa angani pia.” “Na nilisahau kukuambia kitu,” akasema Garindege. “Kioo changu cha kutazama nyuma pia huona kama jicho la kinyonga kama mfumo wa ufuatiliaji wa… Soma zaidi »