Kuhusu mie

mimi takajua

Mimi hapa takajua msanii wa kuchora na kupiga stori. Mpenzi wa lugha ya Kiswahili na teknolojia.

Mwandishi wa vitabu vya watoto ‘Sema hapana kwa ukataji miti’ na ‘ Sema hapana kwa vijidudu’.