Ngoma ya Mzee Mandevu
Wanadamu na wanyama walijikuta wakicheza pamoja, bila woga wala uadui. Kijiji kilitawaliwa na vicheko, nderemo, na furaha.
Wanadamu na wanyama walijikuta wakicheza pamoja, bila woga wala uadui. Kijiji kilitawaliwa na vicheko, nderemo, na furaha.
“Mimi sina muda wa kupoteza! Haraka ndiyo maisha!” alisema Bw. Simiti kila mtu alipomwonya.
Paka wa kwanza, Mweusi, alitokea mji wenye pilikapilika nyingi. Alikuwa ametelekezwa mitaani baada ya mwenyewe kuhamia nchi nyingine.
Kwa uangalifu mkubwa, Panya Daktari aliingia kwenye kinywa cha simba na kuanza kukagua jino lililokuwa limevimba.