Mwenye shibe hamjui mwenye njaa

Oktoba 17, 2018 tekepunda 0

Tumbili alipandishwa kizimbani pamoja na Paka. Paka akiwa na majeraha madogo madogo kichwani kutokana na kichapo alichopata akiwa anatoroka  naye Tumbili alikuwa ameshika mkia wake. […]

Watetea ndizi na mgomba si wako

Septemba 25, 2018 tekepunda 0

“Nilikupa ndizi  ukakataa. Angalia sasa tuko kotini. Mbona hivi?”, Paka akamwuliza Kunguru. ‘Mimi nilikuwa naelekea sokoni ndiposa nikakuona ukibeba ndizi’. Kunguru akajibu. ‘Wewe umewahi kuona […]

Ushahidi ndizi mahakamani

Septemba 14, 2018 tekepunda 0

Kunguru alishika Kitabu cha Ukweli na kuapa kwamba atasema ukweli peke yake na kwamba hataongeza maneno ya kupotosha au kuwadanganya wasikilizaji. Mzee Kobe alirudisha Kitabu […]

jogoo na panzi

Hapo zamani za kale

Agosti 31, 2018 msumeno 0

Mende akamwambia mwenzake kipepeo ,’Tufanyeje?’ ‘Kwa nini?’, akauliza kipepeo. ‘Wewe huoni? Jogoo wanapigana!.’, akasema huku akielekeza kidole kwenye jogoo hao wawili ambao walikuwa wakipigana. ‘Wewe […]

Uongo kwa sauti kubwa

Agosti 7, 2018 msumeno 0

Itakuwaje kama kila mmoja atatangaza mambo yake hadharani?Kama wote wapo kwenye nyumba moja hakutakalika. Serikali ni moja. Hata kwa bongo serikali ni hiyo moja. ‘Tuseme […]