- Kwa kutumia takajua.com unakubaliana na sheria na masharti haya, ambayo yanaanza kutumika mara tu unapoanza kuingia takajua.com. Endapo haukubaliani na yote tafadhali usiingie, usitumie au uchangie takajua.com.
- Takajua multimedia Developers wanaweza kubadilisha masharti haya wakati wowote kwa hiyo ziangalie mara kwa mara.Utumiaji wako wa takajua.com utachukuliwa kuwa umekubali masharti yaliyoongezwa au kubadilishwa.
- Michango iliyo katika lugha nyingine isipokuwa Kiswahili huenda ikaondolewa au ikakosa kuchapishwa.
- Michango/Maoni inayotumwa takajua.com mara mingi ni ya kutoka kwa umma. Isipokuwa pale imeelezwa vinginevyo maoni hayo si ya Takajua Multimedia Developers.
- Unashauriwa kuchukua tahadhari zote kulinda kompyuta yako isiambukizwe virusi.
- Michango lazima iwe ya kujenga na yenye nidhamu, isiwe na lengo baya au iliyotolewa kwa kusudi la kusababisha usumbufu.
- Ili kushiriki na kutoa mchango katika sehemu zilizochaguliwa katika takajua.com utahitajika kujisajili.
- Watumiaji wa rika zote na uwezo huenda wakaweza kushiriki au kuchangia takajua.com. Picha za uchi haziruhusiwi.
- Michango iliyo nje ya mada au yenye lengo la kudhuru hairuhusiwi. Mchango ambao umeshatumika au unaofanana sana mara nyingi hautaruhusiwa.
- Tafadhali usiwasilishe mchango wako kwa mara ya pili kwa zaidi ya mjadala mmoja.
- Matangazo au usambazaji wa barua taka maarufu ‘spam’ hairuhusiwi.
- Usiwasilishe mchango wowote ulio kinyume na sheria kwa namna yoyote ile katika kuchangia takajua.com. Usisambaze kwa makusudi au kwa uzembe barua yenye virusi vya kompyuta.
- Takajua Multimedia Developers imechukua tahadhari kuhakiki yaliyomo takajua.com kuepusha makosa, virusi au kasoro, hata hivyo Takajua Multimedia Developers haisemi kila kitu kitafanya kazi bila shida yoyote.