bahari

Wimbo wa Nyangumi wamtoa ndege machozi

Hapo zamani za kale ndege na nyangumi walipendana sana kama chanda na pete. Ndege alipenda vile nyangumi alivyocheza na maji. Alipenda jinsi alivyokuwa akiogelea kwenye maji kwa ujuzi. Nyangumi alipenda sana manyoya meupe ya ndege. Alipenda pia kumtazama akipaa angani. Wote wawili walipenda kula samaki wadogo wadogo. Katika majira ya jioni ndege na nyangumi walikutana… Soma zaidi »