ng'ombe hataki maziwa

MAPINDUZI ngombe kutoroka kukamuliwa

Oktoba 27, 2020 tekepunda 3

Wakati ulipowadia alipiga teke ndoo ya maziwa na kutoka nje mbio. ‘Jamani, ng’ombe ametoroka.’ Alipohojiwa ng’ombe alisema, ‘Tumechoka kulishwa vinono na kukamuliwa bila idhini.’ Matendo […]