Ng’ombe ajipata ndani ya runinga Kesho yake, Bongosi alibeba runinga hadi malishoni. Alifunga kwenye mti mkubwa karibu na mahali ng’ombe wake walikuwa wakila nyasi.