Lebo gari

Garindege apotea njia baada ya kumtoroka ndege

“Mimi ni bora zaidi kuliko wewe,” Garindege akajionyesha kwa magari mengine. “Kweli wewe uko sawa” lile gari kuukuu jeupe likakubali. “Wewe ni mrembo na umeendelea kiteknolojia kuliko sisi wengine. Unaweza kupaa angani pia.” “Na nilisahau kukuambia kitu,” akasema Garindege. “Kioo…