rockstar sungura

HODARI sungura na gita ya stima

Septemba 17, 2019 tekepunda 7

Mwanamuziki wa kizazi kipya maarufu kama ‘gita namba moja’ aliimba wimbo wake ‘uchungu tamu’ kwa ustadi mkubwa. Wimbo ‘uchungu tamu’ uliwatoa machozi wengi waliokuwa katika […]