Tumbili kujua maana ya Siri Kali

ukweli

Kweli tumefika mwisho wa dunia au ni mwanzo wa mambo mapya? Hivi karibuni tumbili watabadilishwa bongo na kufanywa sawa na binadamu. Swali wengi wanajiuliza ni kama watakuwa adui au rafiki wa binadamu. Hata hivyo kuna binadamu watundu kama wale wa volkswagen walioweka mtambo ya kudanganya na kuchafua mazingira. Binadamu ameingiwa na hofu kuwa tumbili watakuwa… Soma zaidi

Uchungu wa MPIRA ni KIATU

mpira uwanjani

Kiatu uwanjani ni kupiga mpira. Binadamu kazi yake ni kurusha mateke. Hivi majuzi baada ya kufunga bao Ronaldo kashangilia visivyo. Kiatu chake chafanikiwa kutia mpira wavuni. Ni sheria gani inapaswa kuzingatiwa wakati unaposhangilia? Binadamu akona sheria mingi sana na zingine zinamtatiza na kumkanganya kama sheria ya uaminifu. Google alijipata matatani baada ya kukosa kuaminiana na… Soma zaidi