takataka na samaki

TAKATAKA ndani ya samaki

Novemba 5, 2019 tekepunda 6

Samaki wamelalamika kwamba tangu walipoanza kuishi baharini meli na maboti zimekuwa zikitupa takataka na uchafu wa kila aina baharini. Hali ambayo imefanya maisha yao kuwa […]