mvua zima moto

Asifuye mvua imemnyea

Machi 5, 2019 tekepunda 0

Uzito wa kofi ulisababisha meza iliokuwa imepakana na jiko kuanguka na chakula kumwagika. Moto ukaanza hapo na kusambaa ndani ya msitu. Wanyama walitoroka mguu niponye. […]