joto

Kiboko akatalia ndani ya mto

mvuvi na kiboko

Mzee Jengo alipigwa butwaa kuona mnyama mkubwa ajabu mtoni. Hakudhania inawezekana kupata mnyama mkubwa kuliko ng’ombe wake chini ya maji. Joto iliongezeka na idadi ya samaki katika mto huo ulikuwa umeanza kupungua. Wanakijiji, wakiwa na hamu ya kulisha familia zao, walianza kuvua zaidi na zaidi mtoni, na kuvamia eneo la kiboko. Mwanzoni, kiboko alivumilia uvamizi… Soma zaidi »

Ngamia asakata rumba uwanjani

Wengine walihema na kuangamia uwanjani kutokana na ukosefu wa maji na joto kali. Ngamia walionekana kama kuwa na miili yenye kuzuia makali ya jua. Mabao yalifungwa mengi huku wapinzani wao wakilalamika mazingira ya mchanga na upepo mkali. Ngamia wamekuwa kwenye fomu nzuri zaidi msimu huu. Wakiwa hawajapoteza hata gemu moja mfululizo katika gemu zao .