Karamu ya Fisi na Kondoo ‘Mmoja wetu alipata majeraha baada ya kukumbatia fisi’, kondoo mwingine akaongeza.
Ndoto ya bata Wakati ndege wengine walipanga foleni kuwasilisha maombi yao, bata alikuwa akitazama mezani kwa tamaa. Harufu ya chakula cha kupendeza ilimvutia sana,