Nani kama mimi

Twiga alimkemea mbuni kwa kusema, “Unawezaje kujiita wa kipekee wakati huna miguu mirefu ya kutembea kwa maringo?”

Ndoto ya bata

Wakati ndege wengine walipanga foleni kuwasilisha maombi yao, bata alikuwa akitazama mezani kwa tamaa. Harufu ya chakula cha kupendeza ilimvutia sana,