Keki kubwa ajabu

Ni sherehe ya panya.

Atagawia nani?

Punda anataka.

Paka anataka.

Mbuzi anataka.

Wote ni marafiki zake.

Wote anawapenda.

Wote walikula keki.