‘Aliingia vipi ndani ya soko?’, punda masikio kubwa akauliza. ‘Wewe unashangazwa na vile chatu alivyoingia sokoni. Hebu jiulize vile alivyokagua bidhaa kabla ya kununua?’, panya mla mkate akachangia gumzo. ‘Nyinyi mmepitwa na wakati. Hamjasikia kuhusu soko ya mtandao?’, paka akawaeleza akipapasa masharubu yake. ‘Tueleze hiyo soko iko wapi.’, punda masikio kubwa akarudisha. ‘Namuunga mkono punda, … Endelea kusoma Ajabu Kondoo kucheka kioo