Chura mwerevu Januari 6, 2025Disemba 3, 2024 by takajua Hadija na Rukia walikuwa wakigombana katikati ya msitu. Kilichosababisha wagombane haikujulikana wazi.