mbuni wengi wakimbia

KiNYWAJi moto kafanya mbuni kupaa angani

Aprili 28, 2020 tekepunda 12

Majirani hawakuwepo. Kuku alikuwa ameenda msituni. Ng’ombe alikuwa ameenda msituni. Nguruwe alikuwa ameenda msituni. ‘Hakuna aliyetaka kukaa nyumbani ,kwani wameamua kukaa wakiwa wametengana?’