uvamizi wa nzige

NJAA ya nzige

Disemba 24, 2019 tekepunda 9

Mzee Kobe hakuwahi kusikia joto kali kama alivyohisi siku hiyo. Kobe alikuwa na wasiwasi kwa vile hakuwa ameoga na alikuwa anatokwa na jasho jingi mwilini. […]

kifaru na ndege

HASEMI hacheki ananiangalia tu

Agosti 27, 2019 tekepunda 9

Sungura alijihisi kama mshukiwa na kumweleza mwenzake mzee Kobe, ‘Yule kifaru ananitazama sana.’ ‘Wasiwasi ya nini sungura?’, Kobe akarudisha. ‘Hasemi lile analolitaka. Hacheki na hakuna […]

Mrembo

Nani Mrembo kama Tausi?

Juni 18, 2019 tekepunda 20

Yuko na wafuasi wengi ungedhani yeye mhubiri. Kila mahali alikoenda alitangazia wafuasi wake ili wamfuate na wampende. Hakuna aliyetaka kubaki nyuma. Akiwa anakula, akiwa anaogelea […]