Kiboko azindua mradi wa Maendeleo

Mradi

Safari za hapa na pale zimetatizika kutokana na ukosefu wa mamba wazuri wa kuvukisha wanyama mtoni. Hali hii ndio imesababisha msongamno wa wanyama wakitafuta malisho na kuzua vurugu hadharani. Safari za anga za juu zitafanyika mara mbili kila mwaka. Akizindua gari la kipekee la kubeba wanyama Kiboko akasema’ Kutoka zamani nimekuwa nikisadia kwa hali na… Soma zaidi