KUFUTWA kwa majina ya shujaa paka kutoka zamani

maua na maji

Panya alitaka kuandika historia kwa kuwa wa kwanza kuamwangusha paka. Kampeni kubwa ya ‘Paka ni mwongo’ ilianzishwa na wanyama mbalimbali wakiongozwa na panya kupitia mitandao mbalimbali ikiwamo takajua ambao unatoa fursa kwa mafans kuweka taarifa zaidi kuhusu habari feki. Aidha, walioendesha mapambano na maandamano makubwa hadi kuondolewa kwa sanamu ya shujaa paka ni panya waliofilisika… Soma zaidi