Mapenzi ya SIMBA

andika kikombe

Alikuwa mpenzi wake au kitoweo chake? Hili ndilo swali teke punda alilokuwa akijiuliza kufuatia kifo cha simba kwa kupigwa risasi na binadamu polisi. Babake binadamu kijana alipata simba na mwili wa mtoto wake binadamu ndani ya kizuizi chake na kuita vyombo vya habari. Baadaye polisi wakaja na kumfyatulia simba risasi na kumuua. Wanyama wa mtaa… Soma zaidi