Wanatoa jasho bila miti
Hatukuweza kulala wale wawili wakiwa wanapiga mdomo juu yetu, kwa hivyo tukasonga mbele kuwaondokea. Mazungumzo yao yalitufanya TUSHANGAE kuhusu idadi ya watu. Ingawa tuna wazo la wanadamu wangapi duniani, tulikuwa na hamu ya kujua idadi ya wanyama wangapi waliopo ulimwenguni.…