COMMANDO mbwa aokoa mbuzi kutoka magaidi

mbwa ni commando

Alidhani alikuwa anaenda malishoni lakini barabara aliyopitishwa ilikuwa inaelekea pahala tofauti. Akizungumza baada ya magaidi kutiwa nguvuni, mzee mbuzi, alisema tukio hilo lilitokea jana asubuhi kabla kuonja maji ya mtoni. Kwa muda mrefu, utamaduni wa kufunguliwa mlango na watoto kila asubuhi ulikuwa sehemu ya malezi mzee mbuzi. Tangu kuzaliwa kwake, amekuwa akifunguliwa mlango atoke nje… Soma zaidi