imba kama ndege

UKWELI kuhusu haki za Binadamu

Oktoba 29, 2019 tekepunda 8

Ulikuwa usiku wa manane, mbuzi alikuwa amelala pamoja na kondoo wengine waliposikia kishindo. Kisha wakasikia king’ora ikilia pom pom pom!  Abu Bakr al-Baghdadi hayupo tena. […]

rockstar sungura

HODARI sungura na gita ya stima

Septemba 17, 2019 tekepunda 7

Mwanamuziki wa kizazi kipya maarufu kama ‘gita namba moja’ aliimba wimbo wake ‘uchungu tamu’ kwa ustadi mkubwa. Wimbo ‘uchungu tamu’ uliwatoa machozi wengi waliokuwa katika […]