Heri kuliwa na simba kuliko kuliwa na fisi

‘AMINI USIAMINI kupe wataka kuangamiza chatu!’, Boflo akawika. ‘Nakwambia chatu hana mikono wala miguu.’, Rasto akasema akitazama makucha yake. ‘Sielewi , mnyama mkubwa chatu amalizwe na kupe, si angekimbia?, Tekepunda akauliza. ‘Akimbie aende wapi na hao kupe wamedandia yeye kama sisi kwa basi. Hakuna kubanduka’, Boflo akaendelea. ‘Kwani walikuwa kupe wangapi?’ , Tekepunda akauliza. ‘Walikuwa… Soma zaidi