Mbona mamba kalala mdomo wazi? Mamba akaugulia kwa sauti ya maumivu. “Ah, dada yangu mrembo, nina tatizo kubwa! Jino langu linaniuma sana.