kunguni walia

Wadudu wafanya maandamano sababu kukosa umati

Mei 19, 2020 tekepunda 10

Hapo awali binadamu alikuwa na mazoea ya kuingiza vidole vyake ndani ya pua. Sasa ameziba mdomo wake na maski ya barakoa na kutuzuia kuingia ndani ya mdomo wake. Zaidi ya hayo binadamu amekataa kwenda kazini kwa kujifungia ndani ya nyumba.