Maneno matamu hayatoshi kumtoa nyoka pangoni

‘Do!, Binadamu hatakuwa na starehe msalani tena!’, kasema Tekepunda. ‘Kwa nini wasema hivyo? ’, Boflo akauliza. ‘Binadamu alitaka kuangamiza nyoka akiwa ndani ya choo.’ , Tekepunda akarudisha. ‘Walikuwa wamekosana?’, Boflo akaendelea kuuliza. ‘Sijui lakini inasemekana njia ya nyoka huyo kutoka chooni ilizibwa wakati binadamu alipokuwa akijisaidia ndipo akamng’ata akihofia kudhuriwa. ’ Tekepunda akasema. ‘Kudhuriwa kivipi?.’… Soma zaidi