MBINU 3 za kuwinda wakati wa kiangazi

kondoo mitini

Kwa nini ubadilishe mkono, kwa nini ubadilishe mguu, kwa nini ubadilishe mdomo na tumbo ni ile ile. Katika harakati ya kuwinda tumbo ndio linaongoza au ndivyo wengi walikuwa wakifikiria.Haya ndio baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa mwalimu chui na wanyama wa kuwinda wanyama. Baada ya kuyapokea yale maswali chui akajibu,’ Kwanza mazoezi ya mwili na maandalizi… Soma zaidi