Hapo Zamani za Kale

Mei 28, 2019 tekepunda 14

Fisi na mbuzi si marafiki tena.  Majaribio ya makombora yake yalianza tena pindi tu mbuzi aliposimamisha gari lake barabarani. Fisi ambao walikuwa wamemzingira walitaka kumshambulia […]

mvua zima moto

Asifuye mvua imemnyea

Machi 5, 2019 tekepunda 0

Uzito wa kofi ulisababisha meza iliokuwa imepakana na jiko kuanguka na chakula kumwagika. Moto ukaanza hapo na kusambaa ndani ya msitu. Wanyama walitoroka mguu niponye. […]