MTIKISIKO BAHARINI

radi baharini

Hali ya taharuki imetanda katika kituo kimoja cha Polisi mjini Sutherland, Afrika kusini baada ya simba mmoja kukamatwa na kuingizwa korokoroni. Simba alikuwa ametoroka mbuga ya wanyama pori ya Karoo kupitia pengo uliokuwa uani na kuranda randa mitaani ya Binadamu. Bado haijabainika wazi sababu zilizomfanya simba kutaka kufanya ziara mijini ya Binadamu. Nchi ya Uingereza… Soma zaidi